FT: Nusu Fainali ASFC Cup: Azam FC 2-1 Simba SC : 07-05-2023, Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara

FT: Nusu Fainali ASFC Cup: Azam FC 2-1 Simba SC : 07-05-2023, Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara

Kuna mtangazaji Azam anashindwa kuficha hisia kwa Azam
 
Kama sakho na OKRAH wapo ..hii ni niechi yao
 
Naona Simba mnapiga minazi tu na hii yote sababu ni Ndala.
 
Mpaka sasa tunacheza mpira usioridhisha kabisa.
 
Back
Top Bottom