FT: Nyasa Big Bullets 0-2 Simba | CAF Champions League (CAFCL) | Bingu Stadium

Nawatia tumbo joto baada ya kuona sub za wazee, ila hilo goli naona kama Bocco kaliingilia tu ni kazi nzuri ya CCC.
Umeona hiki ndio nilikuwa nakizungumzia, mi siangalii mpira ila niliwaza hili kuweza kutokea
 
Maswala ya familia kwenye kazi za watu yanaingiaje?? Yani aharibu kazi kisha usiwajibishwe kwasababu ana familia??

Basi na akina Bocco waacheni wacheze mpaa 50+ kwasababu wana familia pia.
Au wakina Kagere na Wawa walioachwa walikuwa mabachela?

Hakuna fursa za kihuruma huruma,bila kukaza upaja home tembele halita chemka
 
Ukitaka kujua hilo angalia kikosi alichokuwa anapanga Zoran na Sub alizokuwa anafanya mwanzoni kabisa alivyokuja alikuwa anajenga kikosi chake baadaye nini kikafuata mzee
Basi wampe timu kama yeye ndiyo huwa anapanga timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…