OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Added 4
93'
93'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona hiki ndio nilikuwa nakizungumzia, mi siangalii mpira ila niliwaza hili kuweza kutokeaNawatia tumbo joto baada ya kuona sub za wazee, ila hilo goli naona kama Bocco kaliingilia tu ni kazi nzuri ya CCC.
Wee huoni hata picha mzee Mgunda hajafurahishwa kabisaKwani Matola ndio kocha mkuu
Maswala ya familia kwenye kazi za watu yanaingiaje?? Yani aharibu kazi kisha usiwajibishwe kwasababu ana familia??Acha ujinga wewe... anafamilia huyo
Waache ufala huko Malawi ni mbali mno na kuna mashabki waliokuja na basiAdded 4
93'
Unataka uniambie ile sub ya nyoni na jb kafanya mgunda? Hukuona reaction ya mgunda ? au mwezetu mpira unaangalia kwenye tundu la chooKwani Matola ndio kocha mkuu
Ukitaka kujua hilo angalia kikosi alichokuwa anapanga Zoran na Sub alizokuwa anafanya mwanzoni kabisa alivyokuja alikuwa anajenga kikosi chake baadaye nini kikafuata mzeeMatola ni kama Juma Kaseja anavyokuwa anashutumiwa. Ni kweli yeye ndiye mharibu timu??
Natania tu..!
Au wakina Kagere na Wawa walioachwa walikuwa mabachela?Maswala ya familia kwenye kazi za watu yanaingiaje?? Yani aharibu kazi kisha usiwajibishwe kwasababu ana familia??
Basi na akina Bocco waacheni wacheze mpaa 50+ kwasababu wana familia pia.
Kama Mgunda kocha mkuu anamwacha msaidizi wake afanye sub. nani wa kulaumu. Timu amepewa Mgunda sio MatolaUnataka uniambie ile sub ya nyoni na jb kafanya mgunda? Hukuona reaction ya mgunda ?
Kaandike kule utoMayeleee
Mugalu angekosaHilo goli bocco hata mm nafunga
Shida yake ni kuendekeza ushikaji kwenye kazi kati yake na wale wachezaji wakongwe bila kujali masilahi ya Simba Sc kama team.Matola ni kama Juma Kaseja anavyokuwa anashutumiwa. Ni kweli yeye ndiye mharibu timu??
Basi wampe timu kama yeye ndiyo huwa anapanga timu.Ukitaka kujua hilo angalia kikosi alichokuwa anapanga Zoran na Sub alizokuwa anafanya mwanzoni kabisa alivyokuja alikuwa anajenga kikosi chake baadaye nini kikafuata mzee
Naona huelewi maana ya timuNawatia tumbo joto baada ya kuona sub za wazee, ila hilo goli naona kama Bocco kaliingilia tu ni kazi nzuri ya CCC.