FT: Nyasa Big Bullets 0-2 Simba | CAF Champions League (CAFCL) | Bingu Stadium

Kama Mgunda kocha mkuu anamwacha msaidizi wake afanye sub. nani wa kulaumu. Timu amepewa Mgunda sio Matola
Sasa ikitokea kocha mkuu kakaza shingo kama unavyotaka ndo zinaanza figisu-figusu kati ya wachezaji na kocha mpya, hili linawezekana kwakua Matola ana influence kubwa kikosi kwakuwa amekaa muda mrefu pale.
 
Bado Chama asingeweza kutoa Pasi na kufunga mwenyewe. Bocco kakaa sehemu sahihi muda muafaka.
 
Ila nimegundua kuna Wana Simba wengine hawana akiba ya maneno..lawama nyingi zisizo na maana
 
Matola huwa anapandikiza mbegu mbaya sana miongoni mwa wachezaji ikitokea haelewani na kocha mkuu, unless Mgunda akubali kumridhisha matakwa yake (hasa ya upangaji wa kikosi).
Ila uzuri na Pep nae ni mswahili na figisu na njia zake zote anazifahamu. Hapa Matola eidha atamtii kocha mkuu au atatafuta timu mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…