Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Yes.. Diploma Grade A
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ikitokea kocha mkuu kakaza shingo kama unavyotaka ndo zinaanza figisu-figusu kati ya wachezaji na kocha mpya, hili linawezekana kwakua Matola ana influence kubwa kikosi kwakuwa amekaa muda mrefu pale.Kama Mgunda kocha mkuu anamwacha msaidizi wake afanye sub. nani wa kulaumu. Timu amepewa Mgunda sio Matola
Wamtoe Matola kwanza la sivyo hatodumu paleMamamae Guadiola anagonga ngeli kama kazaliwa nacho vile,
Mi nishamkubali, apewe muda walau miezi mitatu tu.
Bado Chama asingeweza kutoa Pasi na kufunga mwenyewe. Bocco kakaa sehemu sahihi muda muafaka.Hakuna ubaya ila hiyo ni risk
Ni kama kipindi kile Mugalu afunge mabao mawili mechi ya USGN kilichofata akawa anaanzishwa kila mechi halafu zote akawa anacheza hovyo
Kuna mabao mtu unafunga kweli yanaonesha kiwango kimetumika ila mengine ukiyaangalia kabisa unaona ni coincidence tu
Matola inabidi aende tu, kama miaka yote hii ameshindwa kupata leseni A ya CAF hakuna matumainiWamtoe Matola kwanza la sivyo hatodumu pale
Labda Matola ndiyo Betrii la Benchi la ufundi simba. Akitolewa Gari haliwaki..Wamtoe Matola kwanza la sivyo hatodumu pale
Matola huwa anapandikiza mbegu mbaya sana miongoni mwa wachezaji ikitokea haelewani na kocha mkuu, unless Mgunda akubali kumridhisha matakwa yake (hasa ya upangaji wa kikosi).Wamtoe Matola kwanza la sivyo hatodumu pale
Naona vita ikihama toka uwanjani hadi benchi la ufundi. Hata Mimi napenda makocha aina ya Mgunda, hata kama hashindi lakini hamasa anayozalisha kwenye timu inaonekana. Ni Mtu muhimu sana kwenye dressing room.Akipatikana kocha Matola amposhe Mgunda
Ila uzuri na Pep nae ni mswahili na figisu na njia zake zote anazifahamu. Hapa Matola eidha atamtii kocha mkuu au atatafuta timu mpya.Matola huwa anapandikiza mbegu mbaya sana miongoni mwa wachezaji ikitokea haelewani na kocha mkuu, unless Mgunda akubali kumridhisha matakwa yake (hasa ya upangaji wa kikosi).
Sawa hatukatai goli la pili lina mchango wake ila bado sana kumuweka Bocco kwenye mechi kama hizi.Bado Chama asingeweza kutoa Pasi na kufunga mwenyewe. Bocco kakaa sehemu sahihi muda muafaka.
Yule waliyembambika u Prof hata sentence moja ya ngeli hamaliziMamamae Guadiola anagonga ngeli kama kazaliwa nacho vile,
Mi nishamkubali, apewe muda walau miezi mitatu tu.
Na hatutaki amtii ni bora achukue huo ushauri mwingineIla uzuri na Pep nae ni mswahili na figisu na njia zake zote anazifahamu. Hapa Matola eidha atamtii kocha mkuu au atatafuta timu mpya.