Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Vinara wa Ligi Kuu ya NBC Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports leo watashuka dimbani kupambana dhidi ya wenyeji wao Pamba Jiji katika mchezo utakaopigwa katika dimba la CCM Kirumba huko jijini Mwanza.
Pamba Jiji ataweza kumzuia mnyama? Je, Simba ataweza kuendeleza wimbi la ushindi?
Wana Simba wote mliopo kuanzia, Nyegezi, National, Buzuruga, Mecco, Nyasaka, Ilemela, Buhongwa mjitokeze kwa wingi kuhanikiza ushindi.
Mechi itakuwa mubashara kuanzia Saa 10:00 jioni kupitia Azam Sports 1HD.
Live updates zitakujia tupigie mbwa hao mnyama inshallah
Kawaida binadamu akipanik huwa anapoteza muelekeo. Ngoja tuone jaama zetu wasiojua tofauti ya rangi kati rangi ya njano na rangi ya dhahabu wataambulia nini Leo.Pamba (Yanga) Hoyeee π€£π€£π€£π€£
Tupo na SIMBA yetu daima dawamuVinara wa Ligi Kuu ya NBC Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports leo watashuka dimbani kupambana dhidi ya wenyeji wao Pamba Jiji katika mchezo utakaopigwa katika dimba la CCM Kirumba huko jijini Mwanza.
Pamba Jiji ataweza kumzuia mnyama? Je, Simba ataweza kuendeleza wimbi la ushindi?
Wana Simba wote mliopo kuanzia, Nyegezi, National, Buzuruga, Mecco, Nyasaka, Ilemela, Buhongwa mjitokeze kwa wingi kuhanikiza ushindi.
Mechi itakuwa mubashara kuanzia Saa 10:00 jioni kupitia Azam Sports 1HD.
Live updates zitakujia hapaβ¦
mnakula sareTupo na SIMBA yetu daima dawamu
Hii ni duwah au ni maombi? Watu washaingia uwanjani tayari.Game imehairishwa wakuu taarifa zinawajia hivi punde
Na mimi pia naunga mkono hoja.Kila la heri Pamba Jiji