FT: Pamba Jiji 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium | 22.11.2024

FT: Pamba Jiji 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium | 22.11.2024

Mkuu Greatest Of All Time , nilikuwa nakuaminia hautafanya kama wengine wanavyofanya kuanzisha thread hakuna update. Ya kwanza ni kikosi.

Dah
IMG_4325.jpeg
 
Admin weka live tuone mnyama anakufaje na mashabiki wao
 
Vinara wa Ligi Kuu ya NBC Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports leo watashuka dimbani kupambana dhidi ya wenyeji wao Pamba Jiji katika mchezo utakaopigwa katika dimba la CCM Kirumba huko jijini Mwanza.

Pamba Jiji ataweza kumzuia mnyama? Je, Simba ataweza kuendeleza wimbi la ushindi?

Wana Simba wote mliopo kuanzia, Nyegezi, National, Buzuruga, Mecco, Nyasaka, Ilemela, Buhongwa mjitokeze kwa wingi kuhanikiza ushindi.

Mechi itakuwa mubashara kuanzia Saa 10:00 jioni kupitia Azam Sports 1HD.

Live updates zitakujia hapa…
Simba 4-0 Pamba. Kila la heri mnyama
 
Back
Top Bottom