FT: Pamba Jiji 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium | 22.11.2024

20241012_143143.jpg
20241012_091721.jpg
Baridi Kali Sana Kileleni Juu Ya Mawingu
 
Vinara wa Ligi Kuu ya NBC Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports leo watashuka dimbani kupambana dhidi ya wenyeji wao Pamba Jiji katika mchezo utakaopigwa katika dimba la CCM Kirumba huko jijini Mwanza.

Pamba Jiji ataweza kumzuia mnyama? Je, Simba ataweza kuendeleza wimbi la ushindi?

Wana Simba wote mliopo kuanzia, Nyegezi, National, Buzuruga, Mecco, Nyasaka, Ilemela, Buhongwa mjitokeze kwa wingi kuhanikiza ushindi.

Mechi itakuwa mubashara kuanzia Saa 10:00 jioni kupitia Azam Sports 1HD.

Live updates zitakujia hapa…
51mba apigwe vifo vya mende viwili..!!
 
Simba piga hao mtanda goli za kutosha. Warudi wakalie pamoja kimwiko mwiko
 
Vinara wa Ligi Kuu ya NBC Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports leo watashuka dimbani kupambana dhidi ya wenyeji wao Pamba Jiji katika mchezo utakaopigwa katika dimba la CCM Kirumba huko jijini Mwanza.

Pamba Jiji ataweza kumzuia mnyama? Je, Simba ataweza kuendeleza wimbi la ushindi?

Wana Simba wote mliopo kuanzia, Nyegezi, National, Buzuruga, Mecco, Nyasaka, Ilemela, Buhongwa mjitokeze kwa wingi kuhanikiza ushindi.

Mechi itakuwa mubashara kuanzia Saa 10:00 jioni kupitia Azam Sports 1HD.

Live updates zitakujia hapa…
Kikosi bado?
 
Back
Top Bottom