Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #81
Vipi straika muimba regge hapo Uto ana goli ngapi?Uyu ateba bila penati hawezi kufunga goli lolote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi straika muimba regge hapo Uto ana goli ngapi?Uyu ateba bila penati hawezi kufunga goli lolote
Tumeshajua hapo hakuna match ila ni vichekeshoTAarifa hii inaletwa na mjamzito fc baada ya kutolewa bikra na azam na kutiwa na tabora united
Sema kweliUyu ateba bila penati hawezi kufunga goli lolote
Vikidhaminiwa na rc ambae ni mwana utopolo lia liaTumeshajua hapo hakuna match ila ni vichekesho
Sasa unazani uwongo mkuuSema kweli
Mpumelelo Kafungwa kamba ya kufungia mbuziAteba bao 3
Mpumelelo 0
Kwani Prince Mpumelelo sijui Mpumalanga amekatazwa kupiga penati?Uyu ateba bila penati hawezi kufunga goli lolote
Lini mtaacha kulia lia? Mkishinda mnalia na mkigongwa mnaliaVikidhaminiwa na rc ambae ni mwana utopolo lia lia
Goal ni goalSasa unazani uwongo mkuu
Huku ni moya bilaVipi huko?