Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kibu anamkosi gani kwenye sub??
Mechi ya kufuzu Afcon ilulinyanyuliwa ubao kuwa kuna sub inafanyika atoke Mzize aingie Kibu lakini mwishowe Mzize akaendelea kucheza.
Leo tena hivyo hivyo, Kibao kimenyanyuliwa kuashiria Ahoua anatoka na Kibu anaingia lakini mpaka sasa mpira unaendelea