FT: Pamba Jiji 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium | 22.11.2024

FT: Pamba Jiji 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium | 22.11.2024

Wachezaji wa Pamba wanamzonga mwamuzi wakitaka apewe kadi nyekundu wakiamini alikuwa mtu wa mwisho baada ya kumblock Mpole George
 
Shomari Kapombe kachukua njano yake safii
 
Piga hao hadi waseme utopolo ina herufi ngapi
 
Vinara wa Ligi Kuu ya NBC Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports leo watashuka dimbani kupambana dhidi ya wenyeji wao Pamba Jiji katika mchezo utakaopigwa katika dimba la CCM Kirumba huko jijini Mwanza.

Pamba Jiji ataweza kumzuia mnyama? Je, Simba ataweza kuendeleza wimbi la ushindi?

Wana Simba wote mliopo kuanzia, Nyegezi, National, Buzuruga, Mecco, Nyasaka, Ilemela, Buhongwa mjitokeze kwa wingi kuhanikiza ushindi.

Mechi itakuwa mubashara kuanzia Saa 10:00 jioni kupitia Azam Sports 1HD.

Live updates zitakujia hapa…
Simba Nguvu Moja.....
 
Back
Top Bottom