The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Katumwa na RC MtandaMod wa leo ni Mtanda naona kagoma kubadili ubao wa matokeo bado kaweka sifri bini sifri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katumwa na RC MtandaMod wa leo ni Mtanda naona kagoma kubadili ubao wa matokeo bado kaweka sifri bini sifri
Basi mpeni Salam Yule RC wa Mwanza.Huku ni moya bila
Soma ubao wa matokeo.. SIMBA sio Amphibia wewe😀mnakula sare
Plus RC 😀Pamba+Utopolo+Polisi+GSM+Mawaziri6+RC vs Simba
Mkuu wa mkoa anaomba maji nasikia.Huku ni moya bila
Tayari wamekatwa shanga hukoPamba+Utopolo+Polisi+GSM+Mawaziri6+RC vs Simba
Yaan,Tumeshajua wanaobebwa ni kina nani
Alichokifanya huyo beki ingekuwa inacheza Yanga basi tungesikia maneno kuwa kahongwa na GSM.
Inabidi avae jersey aingie uwanjani hakuna namna.. 😁😁😁MTANDA HAWEZI KUKUBALI