Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #201
Andamana mkuuGoli halali Pamba kanyimwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andamana mkuuGoli halali Pamba kanyimwa
ni goli lile refa kabebaHili goli lililokataliwa lina walakini
Hiyo ndo namna nzuri ya kukomesha RC anayeleta siasa kwenye soka. Nimependa sana hiyo mbinu.Hili goli lililokataliwa lina walakini
Sema filimbi ililia mapema kabla ya mpira kupigwaHili goli walilonyimwa Pamba, hapa Simba tumebebwa.....kipa hakuchezewa faulo yoyote na mchezaj wa pamba
Simba anabebwa😁Goli halali Pamba kanyimwa
🤣🤣Hili goli walilonyimwa Pamba, hapa Simba tumebebwa.....kipa hakuchezewa faulo yoyote na mchezaj wa pamba
Hapana ni Simba wenyewe ndio wameangushanaKipa kachezewa foul..!
Filimbi ililia kabla ya golini goli lile refa kabeba
Mpigie simu RC amkamate refa fasterDaah Bongo nyoso, marefa wa hii mechi kuna kitu!!
Yah kabisa filimbi iliondoa attention ya wachezajiSema filimbi ililia mapema kabla ya mpira kupigwa
Wachezaji wa Simba hawakujiweka kwenye attention ya kuuzuia mpira.
Ila hakukuwa na faulo
Halijakataliwa goli hapo isipokuwa refa kapuliza filimbi kuashiria kipa kuchezewa fauloGoli halali Pamba kanyimwa