Mtakuwa mmefanya vyemaMtanda Lazima tumtindue
51mba apigwe vifo vya mende viwili..!!Vinara wa Ligi Kuu ya NBC Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports leo watashuka dimbani kupambana dhidi ya wenyeji wao Pamba Jiji katika mchezo utakaopigwa katika dimba la CCM Kirumba huko jijini Mwanza.
Pamba Jiji ataweza kumzuia mnyama? Je, Simba ataweza kuendeleza wimbi la ushindi?
Wana Simba wote mliopo kuanzia, Nyegezi, National, Buzuruga, Mecco, Nyasaka, Ilemela, Buhongwa mjitokeze kwa wingi kuhanikiza ushindi.
Mechi itakuwa mubashara kuanzia Saa 10:00 jioni kupitia Azam Sports 1HD.
Live updates zitakujia hapa…
Kikosi bado?Vinara wa Ligi Kuu ya NBC Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports leo watashuka dimbani kupambana dhidi ya wenyeji wao Pamba Jiji katika mchezo utakaopigwa katika dimba la CCM Kirumba huko jijini Mwanza.
Pamba Jiji ataweza kumzuia mnyama? Je, Simba ataweza kuendeleza wimbi la ushindi?
Wana Simba wote mliopo kuanzia, Nyegezi, National, Buzuruga, Mecco, Nyasaka, Ilemela, Buhongwa mjitokeze kwa wingi kuhanikiza ushindi.
Mechi itakuwa mubashara kuanzia Saa 10:00 jioni kupitia Azam Sports 1HD.
Live updates zitakujia hapa…
MTANDA HAWEZI KUKUBALIFT : Simba 2 - Pamba jiji 0
RC Mtanda ziiiiiiiiiii 😂Pamba (Yanga) Hoyeee 🤣🤣🤣🤣
Kibiashara hutaki masiharaPamba 1 Kolo 2
Nimebet lakini ole wenu mlete ujinga
Cha Pamba?Kikosi bado?
Kila la heri Pamba Jiji