Abdalla mpemba
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 657
- 908
Ule msemo unao sema aliye juu msubiri chini ulikufa tangu ilipo kuja koronaHata gap liwe point 12 kama mlivyozoea lakini mwisho wa msimu Ubingwa unakwenda Msimbazi. Utopolo nyinyi si wa kubeba kombe abadani.
Cha kushangaza simba tumesajiri waleviHongereni sana watani,kwakweli mna timu yenye wachezaji wanaopambania timu kwa jasho na damu.
Sisi tumepata kutoa hukumu kwavile kuna replay je refa kama hakushuhudia tukio anapata wasaa wa kujiridhisha?Sio kwa hela za GSM
Ni nani msimu huu kidogo kaonesha kumpa tabu yangaIla police hamna kitu pia.Hawajaonesha upinzani na hawajawapa Yanga changamoto yoyote kabisaaaa
Points tatu zingine kibindoni.Mpira Umeisha
Ahsante mtani kwa kulitambua hilo.....Itoshe tu kusema kwamba, mayele ndio straika hatari zaidi afrika mashariki na kati, hongereni sana yanga. [emoji91][emoji91]
Messi ni ambundo mkuu...Af mess anaumwa anajifanya feisal[emoji23][emoji23][emoji23]
Huo ubingwa una sh ngapi uhonge teams zote?Haraka ya nini tena wakati wanapofungwa ndipo mifuko inajaa noti?
Kapimwe kwanza akili!Hata gap liwe point 12 kama mlivyozoea lakini mwisho wa msimu Ubingwa unakwenda Msimbazi. Utopolo nyinyi si wa kubeba kombe abadani.
Mpatie unangoja nini sasa wewe refa wa mchongoDJUMA clear RED CARD.
Mkuu mm naipenda Yanga ila kiukweli hakucheza fair kabisa. Ni kadi nyekundu halali.Mpatie unangoja nini sasa wewe refa wa mchongo
Mwananchi Vimbaaaaaaa This is Dar Young Africans Mtani.Hongereni sana watani, kwakweli mna timu yenye wachezaji wanaopambania timu kwa jasho na damu.
Wawe na haraka wapigwe cha piliHawa polisi wamefungwa,lkn utadhani wao ndiyo wanaushindi. Hawana haraka kabisa.