FT: Polisi Tanzania 0-1 Yanga SC | Ligi kuu Bara| Sheikh Amri Abeid

Mkuu Sisi Si Wategemea Penalty Kama Ambavyo Unaona Mayele Hana Goal La Penalty Hadi Sasa Japo Ni Top Scorer So Far.
Jamaa ana magoli ya kuvizia muda wote anajizungusha karibia na goli la wapinzani na ndio maana offside nyingi anacheza yeye
 
Kuna kitoto kidogo kinaniuliza eti Mayele yuko wapi hapo kwenye tv,nikajua tu hapa Yanga watapata shabiki mpya ikabidi tu nimuonyeshe,kisha nikamwambia"timu ya Mayele ni Simba sawa mtoto mzuri",,akajibu sawa.
basi kakafurahi muda kidogo kakaenda kucheza na wenzie nje huko.
 
Mtazame Mayele Anavyopambana Si Wale Strikers Wako Wanao Kunja Nne Na Wapo Nyoronyoro.
Goli lalilofunga mayele kwa kupambana ni lile la tiktaka

Haya mengine mipira ilikuwa inamgonga tu
 
Haya endelezeni update ngoja nisepe
 
Tutakuja kusomana hapa mida ya saa 1 kuona yaliyojiri ila kwa kosi lile na bolu wanalopiga mamwela napata woga sana kutabiri ushindi kwa chama langu la jangwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…