Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
leo kirungu kimoja cha kichwa kitatosha kabisa.Hahahaaa. Haisaidii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
leo kirungu kimoja cha kichwa kitatosha kabisa.Hahahaaa. Haisaidii.
Yanga hii hii! Ifungwe 2 - 0 na Polisi!! 😁😁 Huu sasa ni utani. Kama simba na Azam wameshindwa kuutafuna mfupa, Polisi Tanzania ndiyo watauweza!!Polisi tz 02 - yanga 00
Hamna kitu kama hicho. teh teh.leo kirungu kimoja cha kichwa kitatosha kabisa.
Mmmh, huo mwiko nyuma huumii mkuu, ukizingatia mtoto wa kiume we.KILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Hivyo akili yako ndo imeishia hapa. Duuh.Mmmh, huo mwiko nyuma huumii mkuu, ukizingatia mtoto wa kiume we.
Wa kike huyo ujue aaaaaaaahaaaMmmh, huo mwiko nyuma huumii mkuu, ukizingatia mtoto wa kiume we.
Uwanja upo katika hali nzuri kulingana na mkoa husika.Vip uwanja ni nzuri au mbaya? Niambie kama ni mbaya sicheki game kabisa