mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,682
- 10,801
Dodoma tena!!Wananchi tushindwe sisi tu, uwanja safi hakuna wasiwasi wa kuwepo kwa maji uwanjani maana tunajua dodoma ni kame,
Tunazari sana tofauti na manungu ambapo mtibwa walichomeka magoli kwenye shamba la mpunga afu wakaita uwanja
Saido lazima atie kamba, mayele leo hato ng'aa japo feisal mechi kama hizi amekuwa bora zaidi.
Ushindi ni goli 2 haijalishi za penati au mtafutano
Mwananchi vimbaaaa