momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,013
- 2,089
Zile sio zawazi ni half chances.ata hivyo Mayele ni striker hatari sanaHaya sasa tunaanza kuhesabu zile nafasi za wazi ambazo mayele anakutana nazo na anakosa magoli
Hii ni nafasi ya pili kwa huu mchezo
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app