FT: Polisi Tanzania 0-1 Yanga SC | Ligi kuu Bara| Sheikh Amri Abeid

FT: Polisi Tanzania 0-1 Yanga SC | Ligi kuu Bara| Sheikh Amri Abeid

Wananchi tushindwe sisi tu, uwanja safi hakuna wasiwasi wa kuwepo kwa maji uwanjani maana tunajua dodoma ni kame,

Tunazari sana tofauti na manungu ambapo mtibwa walichomeka magoli kwenye shamba la mpunga afu wakaita uwanja

Saido lazima atie kamba, mayele leo hato ng'aa japo feisal mechi kama hizi amekuwa bora zaidi.
Ushindi ni goli 2 haijalishi za penati au mtafutano

Mwananchi vimbaaaa
Dodoma tena!!
 
Naam tupo mubashara kabisa kupata mambo mazuri kutoka kwenu wananchi.

Kama kawaida yenu nategemea mpira wa kiwango cha kimataifa kutoka kwa Fesal Salum Fei toto.
Fiston Mayele mzee wa kuwajaza.
Saido Ntibazonkiza antibayotik.
Dr.Kharid Aucho kitengo cha upasuaji.
Yanick Bangala Litombo mjukuu wa Mobutu Seseko Kingwendu Wazabanga.

Bila kumsahau mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa wananchi Generali Bakari Nondo Mwamnyeto.

Japo ukweli utabaki kuwa Utopolo ni Utopolo tu.
Karibu Ushuhudie Assist Kutoka Kwa Farid Mussa, Leo Mtaalamu Feisal hayupo ila mpira safi upo pale pale.

Karibu Sana Mtani Na Imani Umeamka Ngangari.
 
Tariq seif alikuwa na hatari sana kwenye lango la yanga kwa swkunde mbili zilizopita
 
Naam naona kipute kimewaka,ngoja niagize chupa yangu ya kahawa niangalie kama hii leo Uto watasalimika kwenye mikono ya vijana wa Siro!
 
Back
Top Bottom