Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Jamaa ana magoli ya kuvizia muda wote anajizungusha karibia na goli la wapinzani na ndio maana offside nyingi anacheza yeyeMkuu Sisi Si Wategemea Penalty Kama Ambavyo Unaona Mayele Hana Goal La Penalty Hadi Sasa Japo Ni Top Scorer So Far.