FT: Polisi Tanzania 0-1 Yanga SC | Ligi kuu Bara| Sheikh Amri Abeid

FT: Polisi Tanzania 0-1 Yanga SC | Ligi kuu Bara| Sheikh Amri Abeid

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Polisi Tanzania haijawahi kuifunga Yanga tangu ipande daraja lakini Yanga pia haijawahi kupata ushindi ugenini dhidi ya Polisi Tanzania kwenye ligi kuu tangu Polisi wapande daraja msimu wa 2019/20.

Je, ni rekodi gani mpya tutaishuhudia leo timu hizi zinapokutana?

Mechi ni saa 10:00 jioni

LIVE JF

KIKOSI CHA YANGA View attachment 2092741

KIKOSI CHA POLISI TANZANIA

View attachment 2092779

16:00

Vikosi Vyote Vipo Uwanjani Lakini Mchezo bado haujaanza kutokana na Marekebisho ya Nyavu za Golini Baada ya Refferee wasaidizi kukagua nakuona Haziko sawa

00” Mpira umekwisha Kuanza hapa

05” Polisi Tz 0 Yanga Sc 0

10” Polisi Tz 0 Yanga Sc 0

12” Yanga Sc Wanapata Free kick

13” Yanga Sc Wanapata Kona

15” Polisi Tz 0 Yanga Sc 0

16” Polisi Tz (Vitalis) Offside

20” Polisi Tz 0 Yanga Sc 0

25” Polisi Tz 0 Yanga Sc 0

30” Polisi Tz 0 Yanga Sc 0

31” Yanga Sc Offiside (Mayele)

32” Yanga Sc Wanapata Kona Upande Wa Kushoto

35” Polisi Tz 0 Yanga Sc 0

37” Polisi Tz Wanapata Kona

40” Polisi Tz Offiside

40” Polisi Tz 0 Yanga Sc 0

45” Polisi Tz 0 Yanga Sc 0

45” Aucho Anaoneshwa kadi Ya Njano

Dakika 1 ya Nyongeza Kabla Ya Kipindi cha Kwanza Kumalizika

45” + 1 Polisi Tanzania Wanapata Kona

Mpira ni Mapumziko Polisi Tz 0 Yanga Sc 0

Kipindu Cha Pili Kimeanza

50” Polisi Tz 0 Yanga Sc 0

55” Polisi Tz 0 Yanga Sc 0

60” Polisi Tz 0 Yanga Sc 0

63” Yanga Sc 1 Polisi Tz 0 (Dickson Ambundo)

70” Polisi Tz 0 Yanga 1

70” Polisi Tanzania Wanafanya Mabadiriko

74” Kassim Shabani Anaoneshwa kadi Ya Njano

75” Polisi Tz 0 Yanga Sc 1

80” Yanga Wanapata Kona

80” Yanga 1 Polisi Tz 0

85” Polisi Tz 0 Yanga Sc 1

90” Polisi Tz 0 Yanga Sc 1

Dakika 3 za Nyongeza

FT Polisi Tz 0 Yanga Sc 1
 
Attachments

  • 1642944837924.png
    1642944837924.png
    631.5 KB · Views: 15
  • 1642945006532.png
    1642945006532.png
    98.4 KB · Views: 14
Wananchi tushindwe sisi tu, uwanja safi hakuna wasiwasi wa kuwepo kwa maji uwanjani maana tunajua dodoma ni kame,

Tunazari sana tofauti na manungu ambapo mtibwa walichomeka magoli kwenye shamba la mpunga afu wakaita uwanja

Saido lazima atie kamba, mayele leo hato ng'aa japo feisal mechi kama hizi amekuwa bora zaidi.
Ushindi ni goli 2 haijalishi za penati au mtafutano

Mwananchi vimbaaaa
 
Leo tunawafundisha walevi wa gongo kule ukoloni namna soka linavyochezwa

kutetema na kudonoa kupo pale pale..
 
Leo Magoli Mapema Sana Namuona Farid Musa Kaanza First Half Tutakuwa Tayari Tuna Goal Mbili.
 
Wananchi tushindwe sisi tu, uwanja safi hakuna wasiwasi wa kuwepo kwa maji uwanjani maana tunajua dodoma ni kame,

Tunazari sana tofauti na manungu ambapo mtibwa walichomeka magoli kwenye shamba la mpunga afu wakaita uwanja

Saido lazima atie kamba, mayele leo hato ng'aa japo feisal mechi kama hizi amekuwa bora zaidi.
Ushindi ni goli 2 haijalishi za penati au mtafutano

Mwananchi vimbaaaa
Mkuu vipi tena!? Uwanja uko Dodoma au Arusha? Halafu Feisal hayupo hata benchi!
 
Wananchi Tupo Uwanjani Watani Karibuni Mjifunze Mbinu Za Kabumbu Safi.
Naam tupo mubashara kabisa kupata mambo mazuri kutoka kwenu wananchi.

Kama kawaida yenu nategemea mpira wa kiwango cha kimataifa kutoka kwa Fesal Salum Fei toto.
Fiston Mayele mzee wa kuwajaza.
Saido Ntibazonkiza antibayotik.
Dr.Kharid Aucho kitengo cha upasuaji.
Yanick Bangala Litombo mjukuu wa Mobutu Seseko Kingwendu Wazabanga.

Bila kumsahau mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa wananchi Generali Bakari Nondo Mwamnyeto.

Japo ukweli utabaki kuwa Utopolo ni Utopolo tu.
 
Feisal leo hayupo hata benchi
 
Back
Top Bottom