Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Kwani uongo?Kuwa na heshima mdogo wangu, sio kwa sababu nimemsifia ndo uanze kuvuka mipaka..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani uongo?Kuwa na heshima mdogo wangu, sio kwa sababu nimemsifia ndo uanze kuvuka mipaka..
Haraka ya nini tena wakati wanapofungwa ndipo mifuko inajaa noti?Hawa polisi wamefungwa,lkn utadhani wao ndiyo wanaushindi. Hawana haraka kabisa.
Babu huu mwaka ni mbaya sana kwakoHaraka ya nini tena wakati wanapofungwa ndipo mifuko inajaa noti?
Hahahahaha yaani wewe walijua hili na hutoi taarifa TFFHaraka ya nini tena wakati wanapofungwa ndipo mifuko inajaa noti?
Ila kwA uwazi kabisa Ana stahili Kadi kwA kurudishia kiwikoDjumba Shabani anachezewa madhambi