FT: Portugal 5-0 Uzbekistan | World Cup 2026 | NRG Stadium | 23 Juni, 2026 | 2:00 Usiku. CR7 afunga magoli 2 ya kibabe!

FT: Portugal 5-0 Uzbekistan | World Cup 2026 | NRG Stadium | 23 Juni, 2026 | 2:00 Usiku. CR7 afunga magoli 2 ya kibabe!

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Leo Goat CR7 Lazima atupie kamba 2, tupunguze hizi kelele za mji. Kila la Kheri mwamba
================
Mtanange wa kweli wa "David dhidi ya Goliath" (mnyonge dhidi ya jitu) unatarajiwa kurindima katika Uwanja wa NRG huko Houston, ambapo wageni wa Kombe la Dunia la FIFA, Uzbekistan, watakipiga na Portugal—timu inayopewa nafasi kubwa na wengi kufika mbali msimu huu wa kiangazi.

Fomu ya Timu na Habari Zilizopo​

  • Portugal: Wakihusishwa kama miongoni mwa timu zinazopewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa kabla ya mashindano kuanza, mengi yalitarajiwa kutoka kwa Portugal. Hata hivyo, mechi yao ya kwanza ilikuwa ya kusuasua baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na DR Congo.
  • Uzbekistan: Siku yao ya kihistoria katika mchezo wa kwanza ilimalizika vibaya baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa Colombia.
Soma Pia: FT: Portugal 1-1 DR Congo | World Cup 2026 | NRG Stadium (Houston, TX)

Historia ya Timu Hizi (Head-to-Head)​

Hizi hapa ni nukta muhimu kuhusu historia ya timu hizi:
  • Timu hizi mbili hazijawahi kukutana kabisa kabla ya hapo.
  • Pamoja na kupewa nafasi kubwa ya kushinda, Portugal hajaibuka na ushindi katika michezo yake miwili iliyopita dhidi ya mataifa kutoka shirikisho la soka la Asia (AFC) (Sare 1, Kupoteza 1).
Ronaldo katupia goli la 3 kwa Ureno na goli lake la pili katika mchezo wa leo. Mtu mfupi Messi salamu zikufikie
 
Haya team Christian Ronaldo tukutane ili tumshangilie mzee mwenzetu labda atafunga goli nasi tupate cha kusema kwenye fainali hizi🤣🤣🤣
 
Uzbekistan ni timu dhaifu akishindwa kuondoka na mpira ndio basi tena

Siuuuuu

1782234564305.jpg
 
Hawa Uzbekistan eti jana wameruhusiwa kulala na wake zao wakati leo wana match muhimu, alafu daktari wa timu mi mmama ndie aliyefanya maamuzi hayo. Ronaldo hapa ana goal tatu.
 
Back
Top Bottom