FT: Portugal 5-0 Uzbekistan | World Cup 2026 | NRG Stadium | 23 Juni, 2026 | 2:00 Usiku. CR7 afunga magoli 2 ya kibabe!

Sema Portugal wanavyocheza inatia Shaka Sana, timu ina EGO Kila mmoja anataka ashine kuliko mwenzake, kuanzia Kiungo kwenda mbele siwaelewi kabisa wanao wanao Sana, vyenga vingi, wanakosa vision na maamuzi ya haraka, Kwa uchezaji wao ule mmmh wabadilike, Ronaldo angepiga hata sita Leo.
 
Wewe ndo umeongea ukweli. Mijamaa mingi hapo Ina ego na haimpendi Ronaldo. Yeye anamaliza hili nimla mwisho kwake wao wananafsi ya kucheza jingine. Timu ishachukua point tatu kinachotafutwa ni rekodi lakini bado inagombania kufunga. Badala wazidi kumuwezesha star wao afunye hata goili Tano aweke rekodi yenyewe yapi kama maswahili ya Tanzania. Mijinga tu
 
Hawa wana maisha mafupi sana kwenye hii michuano.
 
Wewe ndo umeongea ukweli. Mijamaa mingi hapo Ina ego na haimpendi Ronaldo. Yeye anamaliza hili nimla mwisho kwake wao wananafsi ya kucheza jingine. Timu ishachukua point tatu kinachotafutwa ni rekodi lakini bado inagombania kufunga. Badala wazidi kumuwezesha star wao afunye hata goili Tano aweke rekodi yenyewe yapi kama maswahili ya Tanzania. Mijinga tu
Wenzao Argentina timu yote inamzunguka Messi, Wana unlock defence za wapinzani kwaajili ya Messi ili afunge hata kama wao Wana hiyo nafasi ya kufunga as long as tayari ushindi kwao umeshaonekana so it's time to make history, Kuna hawa madogo kina Trincao, Conceiao wajinga Sana Sidhani kama miaka ya baadae Portugal itatoboa hata makundi Kwa kuwategemea hawa madogo...
 
Kwa mfano Bruno kuna Ile moja mpka Ronaldo anaonesha weka hapa yeye anadrible tu. Kuna nyingine anapiga shuti Yuko mbali sana ila ilimradi tu asomeke ktk ubao. Kuna yule alicheza upande wa kulia aisee alikuwa anapiga chenga sana wakati to Ronaldo yupo open amuwekee haweki. Kuna huyu mmatumbi wa goli la mwisho amefunga goli zuri sawa lakini alikuwa na sababu nyingi za kumpa Ronaldo mpira ashinde goli lake halina umuhiku kwa timu kama vile ambavyo Ronaldo angefunga. Maana anaongeza siyo tu rekodi zake Bali rekodi za timu
 
Back
Top Bottom