Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Toka hapo kwa shemeji yako TV inchi 32 lazima uzibe jicho moja kuona goli la mbuzi😅Lile goli hata bibi yangu pale chalinze anafunga
Duuuh kule kuna JINI huku kuna Mbuzi sasa itakuaje?Safari ya matumaini imeanza rasmi.
Nipo kwenye kochi namshaur shemej ananunue 43inchToka hapo kwa shemeji yako TV inchi 32 lazima uzibe jicho moja kuona goli la mbuzi😅