Watu wanapenda kuwasemea watu.binafsi niliahirisha safari leo kwenda mwanza ili tu mechi isije ikanikuta kwenye basi. lakini mechi ninayosubiria ni ya yanga. ingekuwa ni simba peke yake sasaivi ningekuwa kwenye basi. hata hivyo nawatakia kila la heri, ila macho ya watanzania yapo kigali.karibia 80%
Wageni hao wa Kigali, kule Zambia wamezoea wanaona kawaida tu.yaani macho yote yapo kigali. wanayanga kuweni na huruma, kwamba watanzania leo hii mechi wanayoisubiri kwa hamu ni ile ya kigali tu, hawa wa ndola ni wasindikizaji tu.
A.k.a Nyuma Mwiko FCMapemaaa mahesabu...hatuna kelele wala mbwembwe nyingi kama propaganda FC...
Hapo labda BarAloo wapi maeneo ya sinza naweza kuangalia games zote mbili ya simba ya ya yanga kwa wakati mmoja
Nimeona Kwa mbali unamzungumzia Max Nzegeli kuwa ni opposite ya Kibu Denga! Yaani ukitaka kuelezea mpira wa akili lazima jina Max likujie! Ukiwaza kukurukakara zisizo na faida jina Kibu Denga au Boko linakuja!kama namuona kibu atakavyokuwa anahangaika na mambio yasiyo na matunda. mambio kibao, akili kisoda. mpira ni akili kwa 80%, ishirini zilizobaki ni nguvu na mbio.
Unyama mwingimnyama 3-0
Nimeona Kwa mbali unamzungumzia Max Nzegeli kuwa ni opposite ya Kibu Denga! Yaani ukitaka kuelezea mpira wa akili lazima jina Max likujie! Ukiwaza kukurukakara zisizo na faida jina Kibu Denga au Boko linakuja!
Sijui kwanini ila nina hisia mbaya kuwa msimu huu Simba itamaliza mwendo wa Klabu bingwa kwa kukandwa ndani nje na hawa hawa Power Dynamos waliojiangusha kwa Mkapa!
Simba hawafiki makundi Klabu bingwa Africa mi nimekaa pale gizani Buza kwa Mpalanger nawasubiri mbumbumbu fc waje kushtaki baada ya kukandwa mara ooh refa kapendelea, chakula tumelishwa kibovu, mademu wakali hamna jukwaani Zambia wachezaji walikosa hamasa! Yanga imeshinda Al Merreikh kwa bahasha!
Hatutaki lawama na visingizio huko Ndola Simba mkipigwa na kitu kizito semeni mpira hamjui for now mzani umehamia Yanga klabu ya tatu kwa ubora Africa kwasasa!
Mzee baba rudi kwa thread yenu nyie mpo Kigali, hii ni thread ya Simba tu tupo Ndola au unatafuta hela ya mihogo hapa?Habari ya mjini leo iko Kigali Rwanda.
Mpila ndo Nini we kolo! Au ulitaka kusema Mzee Mpili? Kiswahili tu hujui mpira utaujulia wapi? Sema tu hujapendezwa na usajili wa Fundi wa mpira Max Nzegeli maana ukimpasua Max mmoja tu paah wanatoka Ngoma, Saidoo, Chama, Mzamiru na Baleke!! Siku ingine usiseme "mpila" watu wa town tutajua ulipotoka huko Malinyi, sema "Mpira" weka "R" sio "L"Wanawake wengine bwana,sio wote mnajua mpila tulieni
Ukikoa utawacha kudovautisha R na L, hayo ni mabo ya wasungu tu.Mbumbumbu fc Simbaday ya mchongo hata Kiswahili hamjui boli mtaliweza
Rudi kwa thread yenu we Uto, hapa haikuhusuSimba anakufa 2 tuuh