Nimeona Kwa mbali unamzungumzia Max Nzegeli kuwa ni opposite ya Kibu Denga! Yaani ukitaka kuelezea mpira wa akili lazima jina Max likujie! Ukiwaza kukurukakara zisizo na faida jina Kibu Denga au Boko linakuja!
Sijui kwanini ila nina hisia mbaya kuwa msimu huu Simba itamaliza mwendo wa Klabu bingwa kwa kukandwa ndani nje na hawa hawa Power Dynamos waliojiangusha kwa Mkapa!
Simba hawafiki makundi Klabu bingwa Africa mi nimekaa pale gizani Buza kwa Mpalanger nawasubiri mbumbumbu fc waje kushtaki baada ya kukandwa mara ooh refa kapendelea, chakula tumelishwa kibovu, mademu wakali hamna jukwaani Zambia wachezaji walikosa hamasa! Yanga imeshinda Al Merreikh kwa bahasha!
Hatutaki lawama na visingizio huko Ndola Simba mkipigwa na kitu kizito semeni mpira hamjui for now mzani umehamia Yanga klabu ya tatu kwa ubora Africa kwasasa!