FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

binafsi niliahirisha safari leo kwenda mwanza ili tu mechi isije ikanikuta kwenye basi. lakini mechi ninayosubiria ni ya yanga. ingekuwa ni simba peke yake sasaivi ningekuwa kwenye basi. hata hivyo nawatakia kila la heri, ila macho ya watanzania yapo kigali.karibia 80%
Watu wanapenda kuwasemea watu.
 
kama namuona kibu atakavyokuwa anahangaika na mambio yasiyo na matunda. mambio kibao, akili kisoda. mpira ni akili kwa 80%, ishirini zilizobaki ni nguvu na mbio.
Nimeona Kwa mbali unamzungumzia Max Nzegeli kuwa ni opposite ya Kibu Denga! Yaani ukitaka kuelezea mpira wa akili lazima jina Max likujie! Ukiwaza kukurukakara zisizo na faida jina Kibu Denga au Boko linakuja!

Sijui kwanini ila nina hisia mbaya kuwa msimu huu Simba itamaliza mwendo wa Klabu bingwa kwa kukandwa ndani nje na hawa hawa Power Dynamos waliojiangusha kwa Mkapa!

Simba hawafiki makundi Klabu bingwa Africa mi nimekaa pale gizani Buza kwa Mpalanger nawasubiri mbumbumbu fc waje kushtaki baada ya kukandwa mara ooh refa kapendelea, chakula tumelishwa kibovu, mademu wakali hamna jukwaani Zambia wachezaji walikosa hamasa! Yanga imeshinda Al Merreikh kwa bahasha!

Hatutaki lawama na visingizio huko Ndola Simba mkipigwa na kitu kizito semeni mpira hamjui for now mzani umehamia Yanga klabu ya tatu kwa ubora Africa kwasasa!
 
Wanawake wengine bwana,sio wote mnajua mpila tulieni
 
Mpila ndo Nini we kolo! Au ulitaka kusema Mzee Mpili? Kiswahili tu hujui mpira utaujulia wapi? Sema tu hujapendezwa na usajili wa Fundi wa mpira Max Nzegeli maana ukimpasua Max mmoja tu paah wanatoka Ngoma, Saidoo, Chama, Mzamiru na Baleke!! Siku ingine usiseme "mpila" watu wa town tutajua ulipotoka huko Malinyi, sema "Mpira" weka "R" sio "L"

Nakusaka from now nikikukamata nakuweka chini uanze kuchora kwenye mchanga kuumba herufi , tutaanza na herufi R mpaka ikukae kolowizard wahed!

Mbumbumbu fc Simbaday ya mchongo hata Kiswahili hamjui boli mtaliweza wapi na Ndola mnakandwa 3-0 Leo! Au unabisha Mtani?
 
Back
Top Bottom