Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Usinipangie kutoa maoniRudi kwa thread yenu we Uto, hapa haikuhusu
Ngojeni kwanza tuwatie nguvu. Maana huu uzi wenu umepooza mpaka basi.Mzee baba rudi kwa thread yenu nyie mpo Kigali, hii ni thread ya Simba tu tupo Ndola au unatafuta hela ya mihogo hapa?
There you are...A.k.a Nyuma Mwiko FC
Ushasikia harufu ya nyama jirani umekuja kuomba jembe....Ngojeni kwanza tuwatie nguvu. Maana huu uzi wenu umepooza mpaka basi.
Kinakuuma nini?Kwa timu yako mbovu
Kwa hiyo mnyama ameshachinjwa tayari! Watu wanasubiri tu kula nyama hiyo jioni!!!Ushasikia harufu ya nyama jirani umekuja kuomba jembe....
Kama hujaelewa rudi ukalale utoe wenge...Kwa hiyo mnyama ameshachinjwa tayari! Watu wanasubiri tu kula nyama hiyo jioni!!!
Umepangiwa kulala ndani ya bus huko Kigali na ukatii, halafu kwa thread ya unyama mwingi hutaki kupangiwa namna ya kutoa maoni ?Usinipangie kutoa maoni
Bibie mbona kama una hasira! Au nikuimbie kidogo kile kibwagizo cha Ahmed Ally cha 🗣️wana siiiimba!!! Ili urudi katika hali ya kawaida!!!!Kama hujaelewa rudi ukalale utoe wenge...
Hivi bado umejikunja ndani ya seat hapo Kigali?Ngojeni kwanza tuwatie nguvu. Maana huu uzi wenu umepooza mpaka basi.
😊 bwana weee....hebu rudi kwenye sredi lako au unataka nije huko kwenu tuwakere kidogo...yani Uto bila sisi mnakua kama uji wa mgonjwaBibie mbona kama una hasira! Au nikuimbie kidogo kile kibwagizo cha Ahmed Ally cha 🗣️wana siiiimba!!! Ili urudi katika hali ya kawaida!!!!
View attachment 2750853
Patachimbika leo hapa
Unyama mwingi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Baadae uje humu usikimbie ndugu koloSafari ya nusu fainali ama ikibidi ubingwa kabisa inaanza leo.
Fundi mbrazil, mzee wa mbinu anaianza kazi ilomleta pale msimbazi. Kaeni kwa kutulia.
Mpila ndo Nini we kolo! Au ulitaka kusema Mzee Mpili? Kiswahili tu hujui mpira utaujulia wapi? Sema tu hujapendezwa na usajili wa Fundi wa mpira Max Nzegeli maana ukimpasua Max mmoja tu paah wanatoka Ngoma, Saidoo, Chama, Mzamiru na Baleke!! Siku ingine usiseme "mpila" watu wa town tutajua ulipotoka huko Malinyi, sema "Mpira" weka "R" sio "L"
Nakusaka from now nikikukamata nakuweka chini uanze kuchora kwenye mchanga kuumba herufi , tutaanza na herufi R mpaka ikukae kolowizard wahed!
Mbumbumbu fc Simbaday ya mchongo hata Kiswahili hamjui boli mtaliweza wapi na Ndola mnakandwa 3-0 Leo! Au unabisha Mtani?
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tuNimeona Kwa mbali unamzungumzia Max Nzegeli kuwa ni opposite ya Kibu Denga! Yaani ukitaka kuelezea mpira wa akili lazima jina Max likujie! Ukiwaza kukurukakara zisizo na faida jina Kibu Denga au Boko linakuja!
Sijui kwanini ila nina hisia mbaya kuwa msimu huu Simba itamaliza mwendo wa Klabu bingwa kwa kukandwa ndani nje na hawa hawa Power Dynamos waliojiangusha kwa Mkapa!
Simba hawafiki makundi Klabu bingwa Africa mi nimekaa pale gizani Buza kwa Mpalanger nawasubiri mbumbumbu fc waje kushtaki baada ya kukandwa mara ooh refa kapendelea, chakula tumelishwa kibovu, mademu wakali hamna jukwaani Zambia wachezaji walikosa hamasa! Yanga imeshinda Al Merreikh kwa bahasha!
Hatutaki lawama na visingizio huko Ndola Simba mkipigwa na kitu kizito semeni mpira hamjui for now mzani umehamia Yanga klabu ya tatu kwa ubora Africa kwasasa!
Power lazima waishiwe powerNi msimu mwingine wa Ligi ya Mabingwa Africa. Leo hapa nyumbani Tanzania ni sikukuu kwa wapenda kandanda hasa soka la kuvutia, Samba Loketo.
Ligi ya mabingwa Afrika ndyo inaanza leo rasmi achana na hayo mengine mabonanza simba ndyo timu pekee toka Afrika mashariki inayoanzia Round ya pili View attachment 2750664
Wawakilishi wa Tanzania, katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC leo majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Tanzania na saa za zambia itakuwa ni saa 09:00 mchana atashuka dimbani huko nchini jijini NDOLA nchini ZAMBIA kuchuana na POWER DYNAMOS katika dimba la levy mwanawasa Stadium NDOLA
Simba ambao wamejizolea umaarufu linapokuja suala la mechi za kimataifa, wamekuwa wakifanya vizuri sana watashuka dimbani wakiwa na lengo la kupata matokeo mazuri
Mchezo utakuwa mubashara kupitia AZAM SPORTS 3 HD katika Kisimbuzi cha AzamTv
Karibuni sana kwa live updates...kila la heri kwa mnyama mkubwa mwituni