FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

IMG_1228.jpg

Patachimbika leo hapa
Unyama mwingi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mpila ndo Nini we kolo! Au ulitaka kusema Mzee Mpili? Kiswahili tu hujui mpira utaujulia wapi? Sema tu hujapendezwa na usajili wa Fundi wa mpira Max Nzegeli maana ukimpasua Max mmoja tu paah wanatoka Ngoma, Saidoo, Chama, Mzamiru na Baleke!! Siku ingine usiseme "mpila" watu wa town tutajua ulipotoka huko Malinyi, sema "Mpira" weka "R" sio "L"

Nakusaka from now nikikukamata nakuweka chini uanze kuchora kwenye mchanga kuumba herufi , tutaanza na herufi R mpaka ikukae kolowizard wahed!

Mbumbumbu fc Simbaday ya mchongo hata Kiswahili hamjui boli mtaliweza wapi na Ndola mnakandwa 3-0 Leo! Au unabisha Mtani?

Mi nakusubiria saa 10 sio mbali binti yangu
 
Nimeona Kwa mbali unamzungumzia Max Nzegeli kuwa ni opposite ya Kibu Denga! Yaani ukitaka kuelezea mpira wa akili lazima jina Max likujie! Ukiwaza kukurukakara zisizo na faida jina Kibu Denga au Boko linakuja!

Sijui kwanini ila nina hisia mbaya kuwa msimu huu Simba itamaliza mwendo wa Klabu bingwa kwa kukandwa ndani nje na hawa hawa Power Dynamos waliojiangusha kwa Mkapa!

Simba hawafiki makundi Klabu bingwa Africa mi nimekaa pale gizani Buza kwa Mpalanger nawasubiri mbumbumbu fc waje kushtaki baada ya kukandwa mara ooh refa kapendelea, chakula tumelishwa kibovu, mademu wakali hamna jukwaani Zambia wachezaji walikosa hamasa! Yanga imeshinda Al Merreikh kwa bahasha!

Hatutaki lawama na visingizio huko Ndola Simba mkipigwa na kitu kizito semeni mpira hamjui for now mzani umehamia Yanga klabu ya tatu kwa ubora Africa kwasasa!
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu
 
Ni msimu mwingine wa Ligi ya Mabingwa Africa. Leo hapa nyumbani Tanzania ni sikukuu kwa wapenda kandanda hasa soka la kuvutia, Samba Loketo.

Ligi ya mabingwa Afrika ndyo inaanza leo rasmi achana na hayo mengine mabonanza simba ndyo timu pekee toka Afrika mashariki inayoanzia Round ya pili View attachment 2750664


Wawakilishi wa Tanzania, katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC leo majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Tanzania na saa za zambia itakuwa ni saa 09:00 mchana atashuka dimbani huko nchini jijini NDOLA nchini ZAMBIA kuchuana na POWER DYNAMOS katika dimba la levy mwanawasa Stadium NDOLA

Simba ambao wamejizolea umaarufu linapokuja suala la mechi za kimataifa, wamekuwa wakifanya vizuri sana watashuka dimbani wakiwa na lengo la kupata matokeo mazuri


Mchezo utakuwa mubashara kupitia AZAM SPORTS 3 HD katika Kisimbuzi cha AzamTv

Karibuni sana kwa live updates...kila la heri kwa mnyama mkubwa mwituni
Power lazima waishiwe power
 
Back
Top Bottom