FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

Pia tukumbuke marudio ni chamazi sio kwa mkapa yaani Wachezaji wa simba ni wangese kweli hatuoni Mali IKIKAA mguuni Hawa power dynamoo sio wa kutisha mpaka tucheze kingese ngese hivi.
 
Hatari sana....
Dyanamo wanacheza kwa kasi , wakati simba bado ipo slow.... Dynamo wanapita kati kirahisi sana..
 
Jamaa wanacheza Mpira WA kasi ili Simba wafuate mfumo wao.
 
Back
Top Bottom