Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Pia tukumbuke marudio ni chamazi sio kwa mkapa yaani Wachezaji wa simba ni wangese kweli hatuoni Mali IKIKAA mguuni Hawa power dynamoo sio wa kutisha mpaka tucheze kingese ngese hivi.