FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

Hii timu me naona wanacheza kifaza faza ndo maana ina struggle. Wabadilike wawe na uchu na kujitoa sanaaa
Wewe hapo ndio umemaliza, na ndio utofauti wa Simba na yanga unakuja Hapo ....Yanga wanajitoa saana na hakuna match ndogo kwao wanaokimbia saana na kujituma saaana Lakini njoo Simba yani wanacheza kawaida mnoo wameridhika saaana daaah
 
Mechi ya marudiano Chamanzi Complex......nawaza tu ugumu utakaokuwepo.
 
Back
Top Bottom