Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
- Thread starter
- #201
SIMBA NGUVU MOJA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa wa kushoto wa Zambia atawaliza sana, kuna uzembe wa wazi kwa simba. Wanamuacha mtu tishio bila kumkabaMhhh acha utani...
Abajalo FC ya Sinza.We ni timu gani?
Wewe hapo ndio umemaliza, na ndio utofauti wa Simba na yanga unakuja Hapo ....Yanga wanajitoa saana na hakuna match ndogo kwao wanaokimbia saana na kujituma saaana Lakini njoo Simba yani wanacheza kawaida mnoo wameridhika saaana daaahHii timu me naona wanacheza kifaza faza ndo maana ina struggle. Wabadilike wawe na uchu na kujitoa sanaaa
Ulizikwa siku mingi mbona au ni shabiki wa wafu?Abajalo FC ya Sinza.
Mimi nipo huku Yombo Sigara Njoo Pade bar huko kidimbwi siji,Wakishinda hao uwatajao nakuomba leo tukutane Kidimbwi nina jambo langu kaka mkubwa .
Note : Huu ni mwaliko wangu kwako
N kwel kabsa yan wanacheza kama hawana uchungu na timuHii timu me naona wanacheza kifaza faza ndo maana ina struggle. Wabadilike wawe na uchu na kujitoa sanaaa
Mpaka hatua za makundi ila hatua hii hawana hati milikiDstv hawaoneshi?
Kumbe Mtaalamu Scars upo,vipi kwema huko uliko kaka[emoji23]37'
Simba tunapata kona
Sawa, nilihamia Malimao FC ya Katavi ila.leo nipo Abayero au ukipenda Power DynamosUlizikwa siku mingi mbona au ni shabiki wa wafu?
Babu tulia uangalie show show....Yani simba beki anachambuliwa Kama karanga
Ukweli utabaki pale pale siasa nyingi viongozi janjajanjaPia tukumbuke marudio ni chamazi sio kwa mkapa yaani Wachezaji wa simba ni wangese kweli hatuoni Mali IKIKAA mguuni Hawa power dynamoo sio wa kutisha mpaka tucheze kingese ngese hivi.