FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

Nimeanza kumwelewa kocha kwanini huwa anamuweka Phiri nje, Huyu jamaa kiwango chake kimeshuka sana na sioni dalili ya improvement kwake.

Alafu shida nyingine kubwa kwa timu yetu ni beki za pembeni, Tshabalala na Kapombe, Hawa jamaa washachoka sana hususan Tshabalala, watafutiwe mbadala.

Ushauri: Kocha amwamini Israel Mwenda kwa huku Duchu akiendelea kuimarishwa zaidi. Mwenda ni mzuri mno , ana nguvu, pumzi na anajua kupress..Kocha amwamini ampange.
Kuna kitu kama umechunguza mechi ya leo muda wote aliocheza phiri mipira ilikuwa haifiki mbele hivo huwez mlaumu tatizo letu ni wachezaji watatu
Kanoute....ni useless midfield anajificha hapikei pass anakwepa pass z wenzie ona ngoma ameingia timu ikawek mpira chini unaon kbx anapokea pass anapush mashambulizi anaenda mbele
Kapombe...asee muda wake umeisha yaan anawez enda vzr alafu akapiga cross lisilonamaana pia anakaba kama hataki beki kuna muda inatakiwa mpinzani abaki mpira uende
Shabalala....anatumik san kuna mechi anachoka hasa akikaa muda mrefu kam wiki2 hachezi utamuon anawai kuchoka koch inabidi awe anaswitch mfumo sio lazm acheze dakk zote.
 
View attachment 2751354
Sijui kwa nini beki ya Simba ilichagua kunyamaza badala ya kumgasi refa
Isingesaidia

Leo JKT walikuwa wanafanya mahojiano na Azam nimewasikia wakisema kuna muda wanachezewa faulo mbele ya refa na refa hachukui hatua yeyote

Wakimfata kumuambia atoe kadi, refa anakasirika na kadi anakupa wewe unaye lalamika.
 
Nimeanza kumwelewa kocha kwanini huwa anamuweka Phiri nje, Huyu jamaa kiwango chake kimeshuka sana na sioni dalili ya improvement kwake.

Alafu shida nyingine kubwa kwa timu yetu ni beki za pembeni, Tshabalala na Kapombe, Hawa jamaa washachoka sana hususan Tshabalala, watafutiwe mbadala.

Ushauri: Kocha amwamini Israel Mwenda kwa huku Duchu akiendelea kuimarishwa zaidi. Mwenda ni mzuri mno , ana nguvu, pumzi na anajua kupress..Kocha amwamini ampange.
Muuzeni halafu
Tumnunue yaan huyo mkimuweka Sokoni faster tunamnyakuw YANGA tunamtaka sana
Huko SIMBA kulogana kumezidi
Ila PHIRI bonge la mchezaji
Angekuwa YANGA ndo sehemu sahihi

Sent from my SM-G935S using JamiiForums mobile app
 
Kapombe...asee muda wake umeisha yaan anawez enda vzr alafu akapiga cross lisilonamaana pia anakaba kama hataki beki kuna muda inatakiwa mpinzani abaki mpira uende
Shabalala....anatumik san kuna mechi anachoka hasa akikaa muda mrefu kam wiki2 hachezi utamuon anawai kuchoka koch inabidi awe anaswitch mfumo sio lazm acheze dakk zote.
Kwa hiyo sasa mmemwelewa kocha wa timu ya Taifa kuwatupia virago hao mabeki wenu eeeeh?
 
Nendeni kwenye page yenu ya amapiano na wakimbizi wa sudan wenye njaa na saikolojiko problems....
Ila nyie ma uto mna bahati na vimeo...
Al mereikh yupo nafasi ya 27
Pawa dainamo ya baiskeli hata kwenye 70 Bora haimo
Elewa maana ya neno kimeo
Always mnapitiaga mteremko
Mwaka Jana mlipewa Nyasa big bullets na Primera de agosto, zote Tia maji Tia maji
 
wa mama'ko vipi, haujachoka? Umeujaribu?
sasa hapo bibi kizee unakosea, mamangu anaingiaje hapo sasa na kwani mimi nimesema umechoka kwenye huo? au umechoka tu kwa kuzeeka? au nimetonesha kwenye mshono unajisema sasa kwamba ...umechoka. mamangu mimi hayo hayanihusu watajuana na baba huko.
 
Mumecheza na timu ya kuokoteza huko kwao hakuna ligi ngojeni muingie makundi mnyooshwe
Ipo Namba 27 kwenye official CAF ranking
Mpinzani wako hata 70 Bora hayupo
Ukibisha nakuwekea screenshot
Always mnapewa Vimeo tu
Nyasa big bullets
Primera de agosto
Hawana utofauti na zalan,UD songo
 
Ni kweli kabisa mkuu maana hata magoli ya leo yamefungwa na mabeki!
wale wamefunga leo wote wamebahatisha. wangekuwa wafungaji kweli leo tulikuwa na 5 bila.musonda na mzize wote wazito sana. aziz ki amekosa goli la wazi kabisa. huu ndio ukweli mchungu.
 
wale wamefunga leo wote wamebahatisha. wangekuwa wafungaji kweli leo tulikuwa na 5 bila.musonda na mzize wote wazito sana. aziz ki amekosa goli la wazi kabisa. huu ndio ukweli mchungu.
Hakuna timu inayotumia nafasi zote Kwa usahihi
Haipo ,man city,Madrid,Arsenal,Mamelodi,na wengineo hawajawahi kutumia nafasi zote walizotengeneza
Kushinda goli mbili ugenini
Magoli Yale unasema wamebahatisha, Ile ndoo ya Musonda na finish ya Mzinze unasema wamebahatisha
Uliangalia mpira kweli mkuu??
 
Back
Top Bottom