darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,101
- 18,055
Mmepata kibonde hatusemi leoHamjambo droo fc 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmepata kibonde hatusemi leoHamjambo droo fc 🤣🤣🤣
Toka upate mgao wa DPw umekuwa kiburiNimeanza kuangalia mpira hata baba'ko na mama'ko hawajaanza kukutafuta.
Duh...😂😂Nimeanza kuangalia mpira hata baba'ko na mama'ko hawajaanza kukutafuta.
Kuna kitu kama umechunguza mechi ya leo muda wote aliocheza phiri mipira ilikuwa haifiki mbele hivo huwez mlaumu tatizo letu ni wachezaji watatuNimeanza kumwelewa kocha kwanini huwa anamuweka Phiri nje, Huyu jamaa kiwango chake kimeshuka sana na sioni dalili ya improvement kwake.
Alafu shida nyingine kubwa kwa timu yetu ni beki za pembeni, Tshabalala na Kapombe, Hawa jamaa washachoka sana hususan Tshabalala, watafutiwe mbadala.
Ushauri: Kocha amwamini Israel Mwenda kwa huku Duchu akiendelea kuimarishwa zaidi. Mwenda ni mzuri mno , ana nguvu, pumzi na anajua kupress..Kocha amwamini ampange.
IsingesaidiaView attachment 2751354
Sijui kwa nini beki ya Simba ilichagua kunyamaza badala ya kumgasi refa
Subiri, utapata majibu. Nkana, Horoya na wengine walitufunga kwao.
Muuzeni halafuNimeanza kumwelewa kocha kwanini huwa anamuweka Phiri nje, Huyu jamaa kiwango chake kimeshuka sana na sioni dalili ya improvement kwake.
Alafu shida nyingine kubwa kwa timu yetu ni beki za pembeni, Tshabalala na Kapombe, Hawa jamaa washachoka sana hususan Tshabalala, watafutiwe mbadala.
Ushauri: Kocha amwamini Israel Mwenda kwa huku Duchu akiendelea kuimarishwa zaidi. Mwenda ni mzuri mno , ana nguvu, pumzi na anajua kupress..Kocha amwamini ampange.
Kasikilize 'Interview' ya Mosimane alivyoalikwa na Yanga juu ya mechi za kimataifa hususani Ligi ya Mabingwa ndio utapata somo.Kwanini tunakuwa tunategemea matokeo ya nyumbani tuu, tufike wakati sasa tuwe na uhakika wakushinda hata ugenini huo ndiyo mpira wa kileo
Kwa hiyo sasa mmemwelewa kocha wa timu ya Taifa kuwatupia virago hao mabeki wenu eeeeh?Kapombe...asee muda wake umeisha yaan anawez enda vzr alafu akapiga cross lisilonamaana pia anakaba kama hataki beki kuna muda inatakiwa mpinzani abaki mpira uende
Shabalala....anatumik san kuna mechi anachoka hasa akikaa muda mrefu kam wiki2 hachezi utamuon anawai kuchoka koch inabidi awe anaswitch mfumo sio lazm acheze dakk zote.
sidhani, labda unaongelea uwanja wako pendwa wa 6x6. huo inawezekana na utakuwa umechoka kweli kweli.Nimeanza kuangalia mpira hata baba'ko na mama'ko hawajaanza kukutafuta.
Al mereikh yupo nafasi ya 27Nendeni kwenye page yenu ya amapiano na wakimbizi wa sudan wenye njaa na saikolojiko problems....
Ila nyie ma uto mna bahati na vimeo...
Big Bullet na Zalan nani kimeo?Al mereikh yupo nafasi ya 27
Pawa dainamo ya baiskeli hata kwenye 70 Bora haimo
Elewa maana ya neno kimeo
Always mnapitiaga mteremko
Mwaka Jana mlipewa Nyasa big bullets na Primera de agosto, zote Tia maji Tia maji
mpira wamecheza yanga leo najua tu wameacha gumzo huku rwanda.Al mereikh yupo nafasi ya 27
Pawa dainamo ya baiskeli hata kwenye 70 Bora haimo
Elewa maana ya neno kimeo
Always mnapitiaga mteremko
Mwaka Jana mlipewa Nyasa big bullets na Primera de agosto, zote Tia maji Tia maji
Wote wale waleBig Bullet na Zalan nani kimeo?
Au unajiandikia tu kwasababu umeshinda?
wa mama'ko vipi, haujachoka? Umeujaribu?sidhani, labda unaongelea uwanja wako pendwa wa 6x6. huo inawezekana na utakuwa umechoka kweli kweli.
sasa hapo bibi kizee unakosea, mamangu anaingiaje hapo sasa na kwani mimi nimesema umechoka kwenye huo? au umechoka tu kwa kuzeeka? au nimetonesha kwenye mshono unajisema sasa kwamba ...umechoka. mamangu mimi hayo hayanihusu watajuana na baba huko.wa mama'ko vipi, haujachoka? Umeujaribu?
Ni kweli kabisa mkuu maana hata magoli ya leo yamefungwa na mabeki!tofauti na sisi yanga tunao viungo ila wafungaji hatuna.
Ipo Namba 27 kwenye official CAF rankingMumecheza na timu ya kuokoteza huko kwao hakuna ligi ngojeni muingie makundi mnyooshwe
wale wamefunga leo wote wamebahatisha. wangekuwa wafungaji kweli leo tulikuwa na 5 bila.musonda na mzize wote wazito sana. aziz ki amekosa goli la wazi kabisa. huu ndio ukweli mchungu.Ni kweli kabisa mkuu maana hata magoli ya leo yamefungwa na mabeki!
Hakuna timu inayotumia nafasi zote Kwa usahihiwale wamefunga leo wote wamebahatisha. wangekuwa wafungaji kweli leo tulikuwa na 5 bila.musonda na mzize wote wazito sana. aziz ki amekosa goli la wazi kabisa. huu ndio ukweli mchungu.