FT: Pre-season International Friendly match | Haras El Hoduod 2-0 Simba SC

FT: Pre-season International Friendly match | Haras El Hoduod 2-0 Simba SC

Haya ndo matokeo ya kumpa Kocha Zaron Maki, home work

Ukishinda tu kwenye PRE-SEASON utajiona umemaliza kila kitu
Utaumiza kichwa. Hao hata maana ya pre season hawajui. Wanadhani kufungwa ndiyo mwisho. Hawajui usemi wa wahenga kuwa "inyeshe tupaone panapovuja".
 
Hamna timu hapo ni wahuni tu wa vijiweni wamevalishwa jezi nyekundu na kupelekwa Misri
 
Chama Pamoja Na Kunyoa Kipara Kama Mandonga Lakini Waaaapii..!! [emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20220727_210459.jpg
 
Nembo Ya Timu Waliyocheza Nayo Makolo Hata Haieleweki, Kipindi Cha Kwanza Na Cha Pili Nembo Tofauti [emoji23][emoji23][emoji23], Admin Wa Makolo Sijui Ndo Kapagawa Na Kipigo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20220727_223323.jpg
IMG_20220727_223326.jpg
 
Kweli Africa soka bado yaani team isifungwe iwe kwenye league au pre season friendly vinyesi fc wataponda wakati real Madrid na Chelsea wamechezea vichapo juzi tu hapa kwenye pre season ila kule kigamboni wanacheza kimya kimya hawasemi.
 
Wanajua kabisa sema tu ushabiki wameweka mbele
 
Madrive tax wamewahenyesha kweliii kweliii na hapo wanasema mliwastukiza ila wangepiga Tz siku moja kabla kingeumana
 
Kweli Africa soka bado yaani team isifungwe iwe kwenye league au pre season friendly vinyesi fc wataponda wakati real Madrid na Chelsea wamechezea vichapo juzi tu hapa kwenye pre season ila kule kigamboni wanacheza kimya kimya hawasemi.
Tatizo la mashabiki wa nchi hii ni kutojua wanashabikia nini. Leo mmeandika sahihi kabisa kuhusu maana ya preseason, lakini mliposhinda 6 juzi hali ilikuwa tofauti. Mnadhangilia ushindi wa mazoezini utadhani mechi ya madhindano? Simba na Yanga jifunzeni ushabiki wa soka siyo huu ufuasi wa sasa.
 
Back
Top Bottom