Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndiyo simba bila kupuliza madawa vyumbani.Klabu ya Simba katika kuendelea kujiandaa na msimu mpya wa 2022/23 leo Julai 27, 2022 imecheza mchezo wake wa tatu wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Haras El Hoduod, ambapo Simba imepoteza mchezo huo kwa kufungwa mabao mawili kwa bila Jijini Cairo.
Walioanza upande wa Simba SC
1. Beno
2. Israel
3. Gadiel
4. Onyango
5. Henock
6. Mkude
7. Banda
8. Chama
9. Phiri
10. Sakho
11. Okrah
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana
Lakini sio kubugizwa na makonda hao wa daladala namna hii.Yes ndo pre season, lazima mapungufu yafanyiwe kazi.
Haraka iwezekanavyo.
Na nyie mkacheze na mateja wa mikwambe. Mbna unateseka sanaaaa??? Nini shida shougaaa angu??Lakini sio kubugizwa na makonda hao wa daladala namna hii.
Hiyo haisaidii sana sana tunachojua huko kwa mafarao mmebugizwa mpaka kanoute karudi kwao 😂😂Na nyie mkacheze na mateja wa mikwambe. Mbna unateseka sanaaaa??? Nini shida shougaaa angu??
Byuti byuti. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]