Utaumiza kichwa. Hao hata maana ya pre season hawajui. Wanadhani kufungwa ndiyo mwisho. Hawajui usemi wa wahenga kuwa "inyeshe tupaone panapovuja".Haya ndo matokeo ya kumpa Kocha Zaron Maki, home work
Ukishinda tu kwenye PRE-SEASON utajiona umemaliza kila kitu
Agosti 13 Ndo Mtaona Vizuri Hapo Panapovuja Maana Tutanyesha [emoji23][emoji23][emoji23]Utaumiza kichwa. Hao hata maana ya pre season hawajui. Wanadhani kufungwa ndiyo mwisho. Hawajui usemi wa wahenga kuwa "inyeshe tupaone panapovuja".
Kuna watu walileta shobo pre season brazil mlikula ngapi vileWauza chips wa misri wamegoma kutumika kama umoja wa wakata kachumbali misri
Kachambe kwanza unanuka kinyesiYaani pamoja na kuwemo ndani..
1)Phiri
2)Okra
3)Chama
3)Sakho..
Mnapoteza mchezo? Hivi hii timu ya waendesha bajaj wa hapo Cairo imekua bora kiasi hiki?
Haya ngao ya hisani hiyoooo jiandaeni.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mimavi inakububujika huko nyuma kachambeKumbe Makolokolo wameliwa kiboga..?
Mbona kamae veterans hawa?Nembo Ya Timu Waliyocheza Nayo Makolo Hata Haieleweki, Kipindi Cha Kwanza Na Cha Pili Nembo Tofauti [emoji23][emoji23][emoji23], Admin Wa Makolo Sijui Ndo Kapagawa Na Kipigo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2306213View attachment 2306214
Wamefungwa Na Wazee, Wengine Ni Madereva Tax [emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kamae veterans hawa?
Wanajua kabisa sema tu ushabiki wameweka mbeleKweli Africa soka bado yaani team isifungwe iwe kwenye league au pre season friendly vinyesi fc wataponda wakati real Madrid na Chelsea wamechezea vichapo juzi tu hapa kwenye pre season ila kule kigamboni wanacheza kimya kimya hawasemi.
Huyu graphics designer wao hayupo seriousNembo Ya Timu Waliyocheza Nayo Makolo Hata Haieleweki, Kipindi Cha Kwanza Na Cha Pili Nembo Tofauti [emoji23][emoji23][emoji23], Admin Wa Makolo Sijui Ndo Kapagawa Na Kipigo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2306213View attachment 2306214
Ila ushabiki wa Tanzania ni majanga.Dah [emoji23][emoji23][emoji23] Kwani Oprah Hakucheza? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo la mashabiki wa nchi hii ni kutojua wanashabikia nini. Leo mmeandika sahihi kabisa kuhusu maana ya preseason, lakini mliposhinda 6 juzi hali ilikuwa tofauti. Mnadhangilia ushindi wa mazoezini utadhani mechi ya madhindano? Simba na Yanga jifunzeni ushabiki wa soka siyo huu ufuasi wa sasa.Kweli Africa soka bado yaani team isifungwe iwe kwenye league au pre season friendly vinyesi fc wataponda wakati real Madrid na Chelsea wamechezea vichapo juzi tu hapa kwenye pre season ila kule kigamboni wanacheza kimya kimya hawasemi.