FT: Pre-season International Friendly match | Haras El Hoduod 2-0 Simba SC

Hizi ndio game za kirafiki zinazotakiwa kuchezwa na Simba SC, hapo kocha naamini amejifunza mambo mengi kwa timu yake.
 
Nasikia kocha wao anasingizia uwanja mbovu huko kwa farao, anaujua mkwakwani kweli?
 
Yes ndo pre season, lazima mapungufu yafanyiwe kazi.
Haraka iwezekanavyo.
 
Hii ndiyo simba bila kupuliza madawa vyumbani.
 
Lakini sio kubugizwa na makonda hao wa daladala namna hii.
Na nyie mkacheze na mateja wa mikwambe. Mbna unateseka sanaaaa??? Nini shida shougaaa angu??

Byuti byuti. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na nyie mkacheze na mateja wa mikwambe. Mbna unateseka sanaaaa??? Nini shida shougaaa angu??

Byuti byuti. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo haisaidii sana sana tunachojua huko kwa mafarao mmebugizwa mpaka kanoute karudi kwao πŸ˜‚πŸ˜‚

Anyway mimi nakujua wewe ni nanii..wala sipo kundi lako usinisingizie bure πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…