FT: Raundi ya Tatu ASFC: Simba SC 1-0 Coastal Union, Uwanja wa Mkapa, 28/01/2023

FT: Raundi ya Tatu ASFC: Simba SC 1-0 Coastal Union, Uwanja wa Mkapa, 28/01/2023

Kwa Mkapa kama kawaida
20230128_182843.jpg
 
kwakweli ni mateso kukaa muda bila kucheki mpira maridadi wa mnyama Simba, kunapunguza urutubishaji flani flani mwilini.
 
Hivi hii timu ndio ina makocha wanne? Mbona ni mbovu sana? Yaani wanacheza na tawi lao ila hawana hata mbinu za kufunga? Si wampigie cm Mayele awafundishe jinsi ya kuwafunga coastal
 
Me nawaza huyu robatinyo akiendelea kumngangania kibu Denis wote waondoke tuu.
 
Hivi hii timu ndio ina makocha wanne? Mbona ni mbovu sana? Yaani wanacheza na tawi lao ila hawana hata mbinu za kufunga? Si wampigie cm Mayele awafundishe jinsi ya kuwafunga coastal
Tawi la mti gani[emoji848][emoji848]

Uto mnateseka sana, huyo kocha hana Pre Season na timu, muache kelele.!!
 
Back
Top Bottom