FT: Raundi ya Tatu ASFC: Simba SC 1-0 Coastal Union, Uwanja wa Mkapa, 28/01/2023

FT: Raundi ya Tatu ASFC: Simba SC 1-0 Coastal Union, Uwanja wa Mkapa, 28/01/2023

Coastal nao wako vzr sana tuu...na ni washindani wazuri sana..Big up kwao
Goli la Simba lilikua goli la kiufundi
 
Iv wanasimba wenzangu naomba mnijibu

Kibu kocha yule wa madrid alimtaka
Akaachiwa team matola akawa anampanga
Akaja yule kochwa wa shisha aliyemkataa chama kwamba yuko slow akataka kibu ndo awe anacheza
Tukamfukuza akabaki matola bado akampanga kibu
Akaja Mgunda majeans bado anamtaka Kibu
Amekuja huyu mbrazil bado anamtaka kibu
Leo Mgunda pia kampanga kibu

Iv yawezekana kibu ni mchezaji mzur sana ila sisi mashabik ndo hatujui mpira au? Maana me simpend ila makocha ambao wanajua mpira wanamuelewa

Shida ni Kibu au sisi mashabik?
 
Tawi la mti gani[emoji848][emoji848]

Uto mnateseka sana, huyo kocha hana Pre Season na timu, muache kelele.!!
Ni kweli tulikuwa tunateseka Tena sana ila ni miaka kama miwili imepita. Kwa Sasa we are Unstoppable... Utopolo sio Neno Tena linaloweza kumuumiza mwana Yanga, wenye mateso lazima muwe ni nyie maana tumewanyang'anya makombe yote huku tukiwanyanyasa ndani na nje ya uwanja Kwa kandanda maridadiii watoto wa mjini wanaita [emoji897][emoji897] football...

Wake up brother [emoji23][emoji23]
 
Iv wanasimba wenzangu naomba mnijibu

Kibu kocha yule wa madrid alimtaka
Akaachiwa team matola akawa anampanga
Akaja yule kochwa wa shisha aliyemkataa chama kwamba yuko slow akataka kibu ndo awe anacheza
Tukamfukuza akabaki matola bado akampanga kibu
Akaja Mgunda majeans bado anamtaka Kibu
Amekuja huyu mbrazil bado anamtaka kibu
Leo Mgunda pia kampanga kibu

Iv yawezekana kibu ni mchezaji mzur sana ila sisi mashabik ndo hatujui mpira au? Maana me simpend ila makocha ambao wanajua mpira wanamuelewa

Shida ni Kibu au sisi mashabik?
Kuna watu huwa wana nyota ya kupendwa ila wanakuwa na uwezo mdogo, hii inatokeaga sana. Inawezekana nje ya uwanja anachangamka vizuri na wenzie na ni msikivu kwa makocha.
 
Muliwatoa kwa penalt hawa muliomba mpira uishe kwenye michuano hihii na mayele wenu alikuwemo
Iyo ndio mechi pekee ambayo Mayele hakuwafunga coastal union, Kwa taarifa Yako tu Mayele amecheza mechi tano dhidi ya coastal uniun na amewaweka mechi zote nne za ligi nje ndani na kawaweka goli 6 on the process... Mpe hongera zake bro[emoji122][emoji122][emoji122]

Mayele ni Jini[emoji83] lile wewe mwenyewe na Simba yako mnamwogopa[emoji23][emoji23]
 
Iv wanasimba wenzangu naomba mnijibu

Kibu kocha yule wa madrid alimtaka
Akaachiwa team matola akawa anampanga
Akaja yule kochwa wa shisha aliyemkataa chama kwamba yuko slow akataka kibu ndo awe anacheza
Tukamfukuza akabaki matola bado akampanga kibu
Akaja Mgunda majeans bado anamtaka Kibu
Amekuja huyu mbrazil bado anamtaka kibu
Leo Mgunda pia kampanga kibu

Iv yawezekana kibu ni mchezaji mzur sana ila sisi mashabik ndo hatujui mpira au? Maana me simpend ila makocha ambao wanajua mpira wanamuelewa

Shida ni Kibu au sisi mashabik?
Mpira hauchezwi uvunguni mkuu. Kibu sio mchezaji wa mpira. Labda kama anaingizwa kwa kazi nyingine sio kucheza
 
Usilazimishe negativity zako kwny kichwa changu
 
Back
Top Bottom