RS Berkane VS Simba SC
| Fainali CAF Confederation Cup
| 17 Mei, 2025
17 May 2025
Mechi hiyo itafanyika katika uwanja wa Stade Municipal de Berkane nchini Morocco, na kuruhusu klabu hiyo ya Morocco ya RS Berkane kucheza nyumbani na kuzungukwa na mashabiki wake.
Mchezo huo utaanza mbili usiku (20:00hrs) kwa saa za Morocco, huku Berkane akiwania taji lake la tatu la Mabingwa wa CAF.
TOKA MAKTABA:
Kwa msaada wa intaneti, maajabu ya Simba SC 1993
USMH 2 : 0 SIMBA (CAF 1993) Mechi nzima
View: https://m.youtube.com/watch?v=FfKK_nE14ls
Tujikumbushe stori za wachezaji wa Tanzania walivyokuwa wanacheza kama wanavyotuambia ktk Azam Sports kina Mohamed Mwamweja, Iddi Selemani, Marsha Hussein, Deo Mkuki, Godwin Aswile, George Masatu, Edward Chumila, Ramadhani Lenny, Abdul Ramadhani Machine, George Lucas, Rashid Abdallah, Thomas Kipese, Malota Soma n.k chini ya kocha mkuu mzawa Abdallah Kibadeni walipokuwa uwanjani na uwezo wao mkubwa
N.B
USM El Harrach ( USMH) timu ya Algeria.
historia ya Abdul Ramadhan Mashine leo nakuletea sehemu ya kwanza ya kiungo fundi wa wa Simba Abdul Mashine
View: https://m.youtube.com/watch?v=EbTo3vWT84c