FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Kwasababu moja Yaani Shida ya Simba ni mwishoni huku nyuma wanaweza wanacheza vzr kufika mwishoni Kila Mtu anataka kuwa star ⭐,budo anakomba anakomba unampa Mukwala anazingua,unampa Ahoua anazingua ... Mpanzu Ndio kabisa akupe chance 3 umwangushe anataka afunge yeye....
Budo ni mechi ya nne kama si ya tano hii hakokoti mpira, Anagusa anaachia. Labda uniambie Mpanzu ni mchezaji wa kupunguza na kutoa nafasi hivyo one two zitamshinda.
 
Budo ni mechi ya nne kama si ya tano hii hakokoti mpira, Anagusa anaachia. Labda uniambie Mpanzu ni mchezaji wa kupunguza na kutoa nafasi hivyo one two zitamshinda.
Sawa Shida itakuja wapi ,anafanya kazi na Nani? yaani unampa mwenzako ashalenga goli
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Sawa Shida itakuja wapi ,anafanya kazi na Nani? yaani unampa mwenzako ashalenga goli
Tunahitaji mshambuliaji hatari msimu ujao, Ateba naona anatabirika na kukabika kwa wepesi maana mipira inayoingia ndani ya box inatakiwa ikutane na washambuliaji wanaojua kutumia nafasi.
 
vp wanetu tuwaangozee dakika 🤣🤣🤣🤣
1000284519.jpg

Watupe lupaso yetu
 
Back
Top Bottom