FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Simba akishinda ntashangaa sana.

Japo mpira unadunda hilarious wale jamaa wanavyocheza unajua kabisa hawachezi mpira kwa kubahatisha.

Wanaudunda kweli.
Ugenini huwa wanazuia sana wao wanacheza sana nyumbani ugenini huwa wanakuja kuzuia ingawaje ukipotea wanakufunga tena kama watapelekwa kiwanja kama cha kwao basi wapewe tu hilo kombe
 
Huu nao ni uvivu wako wakufikiria sasa aliyepata on target 3 akadrwa ni sawa na ww uliyetokonyolewa 2 na on target zero😂😂
Ishu ni hizzo on target zako 3 zilikuwa na impact gani kwako?

Hususani pale ambapo huna second chance ya kuja ku clear hizo mess. Sasa sisi tuna hiyo nafasi nyie baada ya hapo mlikuwa na nafasi gani?
 
Refa anajidai anatukataa maniga wenzake ana stick na waarabu kama wamemuahidi kumpa mke
Sasa mtapigwa mande mechi ujayo. Yupo tolu mmoja hivi hacheki ovyoovyo. Yeye hata kwenye VAR haendi. Analo ambiwa ndili analo tekeleza 😁

Haika tabu ipo palepale
 
Ishu ni hizzo on target zako 3 zilikuwa na impact gani kwako?

Hususani pale ambapo huna second chance ya kuja ku clear hizo mess. Sasa sisi tuna hiyo nafasi nyie baada ya hapo mlikuwa na nafasi gani?
Hiyo nafasi nafikiri mtapewa na TATU MALOGO 😂😂. Huna timu ya kumzuia Berkane asipate gori uwanja wowote Tz. Timu inacheza kama imefungiwa mawe..... Mmezoea mbeleko
 
Sasa mtapigwa mande mechi ujayo. Yupo tolu mmoja hivi hacheki ovyoovyo. Yeye hata kwenye VAR haendi. Analo ambiwa ndili analo tekeleza 😁

Haika tabu ipo palepale
Huyo tolu atapoteana na kwa mara ya kwanza ataona amevamia fani isiyomuhusu bora angeenda kwenye basket
 
Hiyo nafasi nafikiri mtapewa na TATU MALOGO 😂😂. Huna timu ya kumzuia Berkane asipate gori uwanja wowote Tz. Timu inacheza kama imefungiwa mawe..... Mmezoea mbeleko
Nasisi lengo sio kumzuia mtu asipate goli

Kwenye draft lengo kuu sio kumzuia mtu asipate kingi
 
Kama sio Tatu Malogo atakuwa Kefa Kayombo
 
  • Kicheko
Reactions: Exy
Nasisi lengo sio kumzuia mtu asipate goli

Kwenye draft lengo kuu sio kumzuia mtu asipate kingi
1747559254537.jpg

Sasa huo umhimu wa kishinda pekee yenu mnaotoa wapi?
 
Back
Top Bottom