FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

1000001839.jpg
 
😂😂😂😂kilichofanyika leo ulikiwa sio mpira ni udhalilishaji.
Timu dk haina hata kashuti kamoja kalikomfikia kipa wajamenii....🤭🤭
 
Mimi naamini Simba bado nafasi wanayo
Mpira sio dini hauendeshwi kwa masuala ya imani timu uliyo kutana nayo invavyo cheza, ilivyocheza matokeo yake, historia yake katika mashindano husika na wewe mna uzani sawa haya ni maswali ya kujiuliza kabla ya kusema ninaamini Simba bado ana nafasi mbele ya Berkane ya Shirikisho.
 
Mtawakataa hawa
We jamaa bhana nimekufwatilia sana,inaonekana mpira unaujua kiundani,maana mambo mengi huwa unaeleza kiufundi na yanatokea,lakini swali langu kwako ni hili,hivi game ya nyumbani tukisema Mutale asimame kama namba 10, sababu ana Kasi,ni mbunifu na anatoa pasi haraka kwa wenzake huku pia anakaba haraka timu ikipoteza mpira,halafu pembeni yake 7 asimame Mpanzu kwasababu na yeye ana Kasi,ni mbunifu na anatoa mipira Kwa haraka,halafu namba 11 aanze Kibu au Chasambi,namba 9 asimame Mukwala,nimepanga hivyo sababu tunahitaji goal nyingi yani 3,lakini pia Ahoua aanze benchi maana ni mzito,mchoyo na hana ubunifu,naomba kuskia maoni yako brother
 
😂😂😂😂kilichofanyika leo ulikiwa sio mpira ni udhalilishaji.
Timu dk haina hata kashuti kamoja kalikomfikia kipa wajamenii....🤭🤭
kalale wewe, subiri marudiano mtajuta
 
Jamaa wanapoga boli aisee, tofauti kabisa na wapaki basi wa south au wale wapaki basi wa kiarabu simba iliyojioigia.

Zile timu hata ugenini, simba alipoga mpira mwingi mno. Ila hawa machalii wanacheza kwa akili kinoma.

Tusubiri tar 25 Zenji, tuone itakuaje ila kumchapa 3 kavu huyu Mmoroco ni uongo.
 
We jamaa bhana nimekufwatilia sana,inaonekana mpira unaujua kiundani,maana mambo mengi huwa unaeleza kiufundi na yanatokea,lakini swali langu kwako ni hili,hivi game ya nyumbani tukisema Mutale asimame kama namba 10, sababu ana Kasi,ni mbunifu na anatoa pasi haraka kwa wenzake huku pia anakaba haraka timu ikipoteza mpira,halafu pembeni yake 7 asimame Mpanzu kwasababu na yeye ana Kasi,ni mbunifu na anatoa mipira Kwa haraka,halafu namba 11 aanze Kibu au Chasambi,namba 9 asimame Mukwala,nimepanga hivyo sababu tunahitaji goal nyingi yani 3,lakini pia Ahoua aanze benchi maana ni mzito,mchoyo na hana ubunifu,naomba kuskia maoni yako brother
Ateba aumie mazoezini kabisa,
 
Mpira sio dini hauendeshwi kwa masuala ya imani timu uliyo kutana nayo invavyo cheza, ilivyocheza matokeo yake, historia yake katika mashindano husika na wewe mna uzani sawa haya ni maswali ya kujiuliza kabla ya kusema ninaamini Simba bado ana nafasi mbele ya Berkane ya Shirikisho.
Mpira huwa una matokeo ya kikatili sana
 
Back
Top Bottom