Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Kabisa yani jamaa wapo fasta sanaKweli kama goli la pili sababu ni uzito wa Hamza,ule haikuwa mpira wa kuukosa
Kabisa yani jamaa wapo fasta sanaKweli kama goli la pili sababu ni uzito wa Hamza,ule haikuwa mpira wa kuukosa
Mahandaw mtoto mzuri na mgongo wake
Frog fcHii sio nini?
Jirani usije ukapasua vyombo shauri yako😀Tulia weye....hapa ni mwendo wa kubana pumbuz mpaka magoli yapatikane
Mtawakataa hawaGoli 3.... Unadhani rede hii eh, Tactical wamewazidi ujanja kidogo hawa majamaa.....nyuma wako vibaya ila mbele ni WA moto
Labda la mkono 😁😁 lakini zingatia neno "mkono"Simba naomba goli moya basi
🤔Ukisikia yalaaaaaaaaaaaaaaaaa jua Kavu imepenya dadeqqqq 🧡🧡🧡🧡🧡🧡💪💪💪!
Hali si nzuri.Mwenye taarifa ya OKW BOBAN SUNZU Kalpana Makiwendo Bill Mtoto halali na hela Mshana Jr kinje ketile Tsh Scars Proved na wengine wote wa madunduka, hali zao zikoje huko? Wako tayari kunyanyua vikombe vya chai? Walijiamini hawa 😂😂😂😂😂😂😂😂
Kama la BaccaLabda la mkono 😁😁 lakini zingatia neno "mkono"
Quality ya wachezaji inamata sana,Berkane wamekamilika kila sehemu kuanzia ulinzi hadi ushambuliajiSimba na yanga zifanye usajili wa maana kipindi hiki
Msimu ujao cafcl hatutaki vilio vya mwakarobo
Tatizo mna kamdomo yaani ateba,kibu na mpanzu ndio wawape kombe nyie ni sawa na arsenal Netflix.Frog fc
Mipango ya Simba kuchukua kombe IPO palepaleWakija kuchangia uzi njoo uniite 🐕 nimekaa hapa
🕺🕺🕺🕺🕺Mahandaw mtoto mzuri na mgongo wake
Ukweli mchunguQuality ya wachezaji inamata sana,Berkane wamekamilika kila sehemu kuanzia ulinzi hadi ushambuliaji