Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,040
- 33,028
Bebwa na ww kama kazi rahisiKazi kubebwa tu
Awazike tu team bovu linapigwa hovyo… 😹😹MO atajua asafirishe au azike hukohuko.
Acha unafiki. Kucheka gani huko?
Labda Simba wabadilike..Barkane walaini sana hawa wanavyokimbia kimbia kama kuku mwenye kideri mechi haishi goli zinarudi zote
Kwamba bila kilainishoMnapigwa kavu leo 😹😹😹
Awapi mi Mwenyew simba wapigwee tu warudi huku tudai reformsBarkane walaini sana hawa wanavyokimbia kimbia kama kuku mwenye kideri mechi haishi goli zinarudi zote