Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,040
- 33,028
Mbona unakabia juu sana 😃 😀Wenye timu wamekimbia uzi wao, mbona hawana uzalendo? Leo tuko hapa mpaka kukuche. Bado kipigo cha 25 uwiiiii. Na uwanja wao wa makafara, umeshashtukiwa. Wanaloooooo
Naburudika sana kuwaangalia, mpira wa kisasa huu tunauonaga kwenye UEFA huko.Hawa Berkane wachezaji wana quality ya hali ya juu mno
Sent from my 23021RAAEG using JamiiForums mobile app
Bado hujasema mamaeeee ulidhani ni Tatu Malogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]Huyu refa kala Hela huyu SI bure
Hao watu wakukimbia zaidi ya Berkano wapo basiNinachokiona hapa Simba wakimbie zaidi ya berkane, wakabe vibaya mno, wajitoee sana itapunguza idadi ya magoli pia wanaweza kupata goli
Hawa wametutesa kisaikolojia sana. Tukajiona Yanga tulifanya kosa kubwa kutoleta kombe home. Sasa wao kumbe ni mdebwedo kabisa.Mbona unakabiq juu sana 😃 😀